Tangu kuasisiwa kwake baada ya Umoja wa Nchi Huru za Afrika mnamo 2002, Umoja wa Afrika (AU) umeweka msisitizo wa pekee kwenye masuala ya haki za bonadamu, demokrasia na ushiriki zaidi wa asasi za kiraia katika kufnikisha dira yake. Malengo ya mwongozo huu ni kwanza kuwa rasilimali kwa asasi za kiraia (CSOs) na wahusika katika masuala ya haki za binadmu na pili ni ...